Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: An-Najm Ayah 41

53:41
ثم يجزاه الجزاء الاوفى ٤١
ثُمَّ يُجْزَىٰهُ ٱلْجَزَآءَ ٱلْأَوْفَىٰ ٤١
ثُمَّﳝ
يُجۡزَىٰهُﳞ
ٱلۡجَزَآءَﳟ
ٱلۡأَوۡفَىٰﳠ
٤١ﳡ
Kisha ndio atalipwa malipo yake kwa ukamilifu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
kisha binadamu atalipwa kwa juhudi zake malipo yenye kuenea kikamilifu matendo yake yote.